BIASHARA NI MATANGAZO TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA GHARAMA NAFUU SANA WASILIANA NASI KWA SIMU +255 714 889882 /+255 782 889882


Tuesday, August 28, 2012

G's ENT. NA WASANII WAKE

KAMPUNI YA G's ENTERTAINMENT   Ni kampuni ambayo ina deal na wasanii wadogo ambao bado hawajatoka na wanaonekana wanauwezo wa kuimba na kufanya vizuri kwenye game ya muzuki Tanzania na duniani kwa ujumla. Kampuni hii ambayo ipo chini ya MENEJA  Gardner James a.k.a  G14 inamipango mizuri  ya kuinua wasanii mbali mbali na kwa sasa imeanza na wasanii kama YOUNG KACHA NA LADY MACHACHA,,

YOUNG KACHA

YOUNG KACHA KATIKA MOJA YA SHOW ZAKE.


 
 Akifunguka zaidi meneja wa kampuni hiyo katika EXCLUSIVE INTERVIEW na www.mtwarayangu.blogspot.com Meneja huyo  G14 alisema;
   
Nimeanzisha lebal kucmamia baadhi ya wasnii ambao bado hawajatoka ila wanaonekana wanauwezo ,na kwasasa niko na wasanii wawili ambao ni YOUNG KACHA na LADY MACHACHA a.k.a LADY CHIII ambao nawasimamia na ntawatoa kwa awamu kwasasa nimeanza na young kacha.
Label yangu inaitwa G"s intertainment
Ngoma inaitwa KISA SWAGG MSANII - YOUNG KACHA

SIKILIZA NA DOWNLOAD  NGOMA YA  KISA SWAGG YA YOUNG KACHA HAPA...