BIASHARA NI MATANGAZO TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA GHARAMA NAFUU SANA WASILIANA NASI KWA SIMU +255 714 889882 /+255 782 889882


Friday, January 25, 2013

MTWARA HALI SI SHWARI KABISA.

HALI YA MKOA WA MTWARA SI YA AMANI TANGU MCHANA WA HII LEO NA HALI HALISI NDIO KAMA INAVYOONEKANA KWENYE PICHA HAPO CHINI.

 Hapa ni njia panda ya kwenda sweet corner na kuingilia stand
HAPA NI MAENEO YA STENDI KUU YA MKOA WA MTWARA NA HALI NDIO KAMA INAVYOONEKANA HAPO WANANCHI WAKIWA WAMEZUIA BARABARA NA KUCHOM MATAIRI.

Inayosemekana kuwa ni Nyumba ya waziri na ss imewshwa moto na wananchi
HII NDIO INAYOSEMEKANA KUWA NI NYUMBA YA MH. MBUNGE WA MTWARA VIJIJINI BI. HAWA GASIA AMBAYO EMEHARIBIWA NA MAWE NA KISHA KUTEKETEZWA KWA MOTO.
Vijana kwnye tension kubwa
BAADHI YA WANACHI WA MKOA WA MTWARA WAKIWA KATIKA MAPAMBANO HAYO.

Nyumba inayosemekana kuwa ya Mwnyekiti wa CCM
INAYOSEMEKANA KUWA NI NYUMBA YA MBUNGE MSTAAFU NA MWENYAKITI WA CCM MKOA WA MTWARA 
IKIWA IMWHARIBIWA KW MAWE NA WANANCHI WENYE HASIRA KALI.


Stand ipo hivi tangu saa 10 jioni
STENDI KUU YA KUU YA MKOA WA MTWARA KAMA INAVYOONEKANA IKIWA HAKUNA IDADI KUBWA YA WATU  MAJIRA YA SAA KUMI JIONI WAKATI WA VURUGU HIZO.
Hapa ni karibu na Dubai restaurant
BARABARA ZOTE ZA MJINI MTWARA ZILIFUNGWA NA HII NI MOJA YA BARABARA ZA MTAA WA SINANI.


Mtwara...hapashikiki aiseee
MOTO ULIOWASHWA KATIKATI YA BARABARA. BAADA YA BARABARA HIZO KUFUNGWA.


mtwara mpya iyoo!

Tuesday, August 28, 2012

G's ENT. NA WASANII WAKE

KAMPUNI YA G's ENTERTAINMENT   Ni kampuni ambayo ina deal na wasanii wadogo ambao bado hawajatoka na wanaonekana wanauwezo wa kuimba na kufanya vizuri kwenye game ya muzuki Tanzania na duniani kwa ujumla. Kampuni hii ambayo ipo chini ya MENEJA  Gardner James a.k.a  G14 inamipango mizuri  ya kuinua wasanii mbali mbali na kwa sasa imeanza na wasanii kama YOUNG KACHA NA LADY MACHACHA,,

YOUNG KACHA

YOUNG KACHA KATIKA MOJA YA SHOW ZAKE.


 
 Akifunguka zaidi meneja wa kampuni hiyo katika EXCLUSIVE INTERVIEW na www.mtwarayangu.blogspot.com Meneja huyo  G14 alisema;
   
Nimeanzisha lebal kucmamia baadhi ya wasnii ambao bado hawajatoka ila wanaonekana wanauwezo ,na kwasasa niko na wasanii wawili ambao ni YOUNG KACHA na LADY MACHACHA a.k.a LADY CHIII ambao nawasimamia na ntawatoa kwa awamu kwasasa nimeanza na young kacha.
Label yangu inaitwa G"s intertainment
Ngoma inaitwa KISA SWAGG MSANII - YOUNG KACHA

SIKILIZA NA DOWNLOAD  NGOMA YA  KISA SWAGG YA YOUNG KACHA HAPA...

Monday, July 9, 2012

vodacom WAJANJA TOUR NDANI YA MTWARA

      PRESENTER G14 KUTOKA PRIDE FM RADIO 

DJ MOSES FROM PRIDE FM,YOUNG MTWEEZ JEMEDARI WA KUSINI.

MSANII KIBEGA KUTOKA MTWARA AKIWABURUDISHA WAJANJA WA MTWARA

BAADHI YA WAJANJA WA MTWARA WALIOUDHURIA SHOW BAB KUBWA YA WAJANJA WA VODACOM MKOANI MTWARA.

WAJANJA WA MTWARA
DJ ZERO KUTOKA CLOUDS FM AKIISABABISHA SHOW BAB KUBWA

 PRESENTER G14 AKIWA NA DJ ZERO
DJ ZERO

B12 KUTOKA XXL YA CLOUDS FMMABESTE AKIWABURUDISHA WAJANJA WA MTWARA


B12 KUTOKA CLOUDS FM NA G14 KUTOKA PRIDE FM RADIO

NAY WA MITEGO AKIJIANDAA KUPANDA STEGINI


NAY AKIWABURUDISHA WAJANJA WA MTWARA

DIAMOND AKIPA KATIKA TOUR BUS KABLA YA SHOW YAKE

MABESTE AKIWA KATIKA TOUR BUS BAADA YA SHOW YAKE

DJ ZERO AKIWA NA B12 WOTE KUTOKA CLOUDS FM ZE PEOPLES STATION

SHETTA A.K.A KING MSWATI AKIWABURUDISHA WAJANJA WA MTWARA
JOH MAKINI MWAMBA WA KASKAZIN AKIJIANDAA KUPANDA STEJINI

NGOSHA ZE DON FID Q AKIWARUSHA WAJANJA WA MTWARA JAMAA ALIFANYA SHOW MOJA BAB KUBWA YAN


FID Q AKITETA JAMBO NA B12.

Tuesday, June 12, 2012

SHANGWE ZA UZINDUZI WA MTWARA YANGU BLOG NDANI YA PRIDE FM RADIO

                        A GOOD PRESENTER IN TOWN G14 NDANI YA FULL CHARGE

           G14 TAYARI KWA KUANZA UZINDUZI WA BLOG YETU NDANI YA PRIDE FM RADIO

                 G4TEEN TAYARI AKIIZINDUA GLOG RASMI KWA WANAMTWARA

                                               G4TEEN NDANI YA WEEKEND BLUST

 PIA WAREMBO KIBAO WALISIMAMIA SHOW HIYO KUFANA KAMA               UNAVYOWAONA HAPO

WAREMBO HAO WALIPATA TIME YA KUTOA MAONI YAO NA KUSIKA LIVE NDANI YA WEEKEND BLUST YA PRIDE FM RADIO
HAPO NI GOOD PRESENTER IN TOWN G14 AKIWA NA WAREMBO NDANI YA WEEEKEND BLUST YA PRIDE FM RADIO
MENEJA WA THE BEST HOTEL IN TOWN NAF BLUE VIEW HOTEL PIA ALIIIWAKISHA  HOTELI HIYO NDANI YA WEEKEND BLUST
ZE BEST DJ MOSES ALIFANYA MIZUX YA KUFA M2 ILIKISABABISHA ILE MBAYA NDANI YA WEEKEND BLUST YA PRIDE FM
HAPO NI PRESENT EDDY MSAFI NAYE ALIIWAKISHA SHOW VIZURI SANA

PIA TULIKUA NA MSANII ANAYEKUJA KWA KASI B.I.C
HAPO SASA TULIBURUDIKA NA MANGOMA KUTOKA KWA DJ MOSE
HATIME SHOW ILIISHA NA KUPATA NAFASI YA KUPIGA PICHA NA WAREMBO