
YOUNG KACHA
Akifunguka zaidi meneja wa kampuni hiyo katika EXCLUSIVE INTERVIEW na www.mtwarayangu.blogspot.com Meneja huyo G14 alisema;
Nimeanzisha lebal kucmamia baadhi ya wasnii ambao bado hawajatoka ila wanaonekana wanauwezo ,na kwasasa niko na wasanii wawili ambao ni YOUNG KACHA na LADY MACHACHA a.k.a LADY CHIII ambao nawasimamia na ntawatoa kwa awamu kwasasa nimeanza na young kacha.
Label yangu inaitwa G"s intertainment
Ngoma inaitwa KISA SWAGG MSANII - YOUNG KACHA
SIKILIZA NA DOWNLOAD NGOMA YA KISA SWAGG YA YOUNG KACHA HAPA...